Video: Sat B – Karabarya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Sat B ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao, Karabarya. Video imetenegezwa na director Sasha Vybz, Audio by Kolly Da Magic pamoja na  Eric Musyoka